1/7
Gospo Music - Nyimbo za Injili Kusifu na Kuabudu. screenshot 0
Gospo Music - Nyimbo za Injili Kusifu na Kuabudu. screenshot 1
Gospo Music - Nyimbo za Injili Kusifu na Kuabudu. screenshot 2
Gospo Music - Nyimbo za Injili Kusifu na Kuabudu. screenshot 3
Gospo Music - Nyimbo za Injili Kusifu na Kuabudu. screenshot 4
Gospo Music - Nyimbo za Injili Kusifu na Kuabudu. screenshot 5
Gospo Music - Nyimbo za Injili Kusifu na Kuabudu. screenshot 6
Gospo Music - Nyimbo za Injili Kusifu na Kuabudu. Icon

Gospo Music - Nyimbo za Injili Kusifu na Kuabudu.

AfroTech Studios
Trustable Ranking IconOfficial App
1K+İndirme
8.5MBBoyut
Android Version Icon4.1.x+
Android sürümü
1.2.0(04-02-2020)En son sürüm
-
(0 İncelemeler)
Age ratingPEGI-3
İndir
DetaylarİncelemelerSürümlerBilgi
1/7

Gospo Music - Nyimbo za Injili Kusifu na Kuabudu. açıklaması

Pata nyimbo za injili kutoka kwa waimbaji wa Tanzania na nje ya Tanzania.

App hii itakupa nafasi ya kusikiliza nyimbo nyingi zikiwemo za kuabudu na kusifu. Zipo nyimbo za waimbaji maarufu kama vile Goodluck Gozbert, Christopher Mwahangila, Joel Lwaga, Bahati Bukuku, Rose Muhando, Martha Mwaipaja, Masanja Mkandamizaji.


Pia zipo Video za nyimbo za Injili kutoka Youtube pamoja na mahubiri kutoka kwa wanenaji wa kitanzania. Utawasikiliza watumishi wa Mungu kama Rev. Daniel Mgogo, Mwl Mwakasege, Bishop Josephat Gwajima na wengineo wengi.


Pakua sasa app yetu ya mziki wa Injili uburudishe moyo na nafsi. Ubarikiwe sana!!


.

.

Gospo Media, Safina, Utukufu Music, Ufufuo na Uzima.

Gospo Music - Nyimbo za Injili Kusifu na Kuabudu. - Sürüm 1.2.0

(04-02-2020)
Diğer sürümler

Henüz yorum veya değerlendirme yok! İlk yorumu yapmak için lütfen

-
0 Reviews
5
4
3
2
1

Gospo Music - Nyimbo za Injili Kusifu na Kuabudu. - APK Bilgisi

APK sürümü: 1.2.0Paket: com.afrotechstudios.gospel
Android uyumluluğu: 4.1.x+ (Jelly Bean)
Geliştirici:AfroTech StudiosGizlilik Politikası:https://mifugovets.blogspot.com/p/privacy-policy-app.htmlİzinler:9
Ad: Gospo Music - Nyimbo za Injili Kusifu na Kuabudu.Boyut: 8.5 MBİndirme: 236Sürüm : 1.2.0Yayın Tarihi: 2020-02-04 06:01:55
Min Ekran: SMALLDesteklenen CPU: Paket kimliği: com.afrotechstudios.gospelSHA1 İmzası: B9:6B:83:7B:29:40:DF:BF:72:10:B4:3E:5B:76:80:CD:30:9D:6E:71Min Ekran: SMALLDesteklenen CPU: Paket kimliği: com.afrotechstudios.gospelSHA1 İmzası: B9:6B:83:7B:29:40:DF:BF:72:10:B4:3E:5B:76:80:CD:30:9D:6E:71

Gospo Music - Nyimbo za Injili Kusifu na Kuabudu. uygulamasının en son sürümü

1.2.0Trust Icon Versions
4/2/2020
236 i̇ndirme8.5 MB Boyut
İndir